Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kilimo hai sio tu kinalinda mazingira bali pia afya za binadamu:Kitojo

Kilimo hai sio tu kinalinda mazingira bali pia afya za binadamu:Kitojo

Pakua

Kilimo hai kina mchango mkubwa katika kutimiza ajenda ya maendeleo ya Umoja wa Mataifa SDG’’s hasa katika kulinda mazingira , kuhakikisha uhakika wa chakula na pia kutimiza moja ya vipengele vya lengo la afya bora. Kwa mujibu wa 
Bwana Waziri Kitojo, Afisa Kilimo wa kampuni ya kilimo ya Digital Mobile Africa ya nchini Tanzania kilimo hai licha ya kusaidia kupambana na uhariubifu wa mazingira kinafaida kiafya kwani chakula kinachozalishwa hakitumii kemikali bali mbolea za asili kama samadi na mboji. Kupata ufafanuzi zaidi wa kilimo hicho na faida zake Anold Kayanda amezungumza na Bwana Kitojo ambaye anaanza kwa kueleza maana ya Kilimo Hai.

(MAHOJIANO NA WAZIRI KITOJO)
 

Audio Credit
UN News/ Anold Kayanda
Sauti
3'14"
Photo Credit
©FAO/Luis Tato