Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi wakaribisha juhudi za UN Women kuwezesha wanawake, Uganda

Wakimbizi wakaribisha juhudi za UN Women kuwezesha wanawake, Uganda

Pakua

Nchini Uganda jamii ya wakimbizi katika makazi ya wakimbizi ya Kyangwali wamekaribisha mradi wa kuwawezesha na kushughulikia mizozo katika jamii hiyo unaotekelezwana shirika la National Association oF Professional Environmentalists (NAPE), kwa msaada kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la kushughulikia masuala ya wanawake, UN-Womnen. Mwandishi wetu John Kibego amezungumza na walengwa wa mradi huo wa miaka miwili ambao pia utawanufaisha wenyeji walioko katika makazi ya wakimbizi wa ndani ya Rwamutonga na Kigyayo. Je, wakimbizi wenyewe wanataka ujikite katika masuala gani? Basi sikiliza mahojiano haya.

Audio Credit
Leah Mushi/John Kibego
Audio Duration
3'40"
Photo Credit
UN/ John Kibego