Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

26 Februari 2021

26 Februari 2021

Pakua

Leo Ijumaa ni mada kwa kina ikijikita huko jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako walinda amani wanawake kutoka Tanzania wakihudumu chini ya bendera ya Umoja wa Mataifa. Walinda amani hao chini ya TANZBATT_8 wamefanya ziara na kukutana na wanawake wa maeneo mbalimbali ikiwemo Matembo. Leo ni siku ya kujifunza Kiswahili na leo ni methali "Kwa muoga huenda kicheko kwa shujaa huenda kilio.” Hata hivyo kuna habari kwa ufupi tukianzia Nigeria, kutekwa nyara kwa watoto wa shule halikadhalika kufungwa kwa kambi ya Menawash iliyokuwa chini ya TANZBATT_13 huko Darfur nchini Sudan. Mwenyeji wako ni Flora Nducha.

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
11'11"