Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

07 Januari 2021

07 Januari 2021

Pakua

Hii leo jaridani Flora Nducha anaanza na wito wa Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres kwa mamlaka DRC kuchukua hatua kulinda raia na kuadhibu wahusika wa mauaji ya raia huko Beni, Kivu Kaskazini. Kisha anakwenda Ethiopia ambako watoto wa kiume wanashiriki kuepusha ndoa za utotoni za watoto wa kike. Bei za vyakula mwezi Desemba 2020 zimemulikwa na makala tunaangazia mchango wa WFP nchini Tanzania katika lishe bila kusahau mashinai tunamulika nafasi ya mboga za majani katika kuinua kipato cha vijana. Karibu!

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
12'4"