Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNMISS na njia bunifu kuhakikisha elimu kwa wakazi Sudan Kusini

UNMISS na njia bunifu kuhakikisha elimu kwa wakazi Sudan Kusini

Pakua

Timu ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaohudumia Sudan Kusini wanatafuta njia za ubunifu za kutafuta pesa za kulipia ada ya watoto yatima na watoto katika familia zenye mzazi mmoja, kutoa chakula, vitabu na kuboresha vyumba vya madarasa vya shule ambayo inahudumia jamii maskni katika mji mkuu Juba. 

Audio Credit
Flora Nducha- John Kibego
Audio Duration
2'24"
Photo Credit
© UNICEF/UNI315623/Ongoro