Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Majanga makuu matatu ikiwemo njaa yanashuhudiwa nchini Afghanistan

Majanga makuu matatu ikiwemo njaa yanashuhudiwa nchini Afghanistan

Pakua

Nchi ya Afghanistan inakabiliwa na changamoto kubwa ya kutokuwa na uhakika wa chakula huku viwango vya utapiamlo vikifurutu ada kutokana na tishio litokanalo na majanga matatu makubwa ambayo ni vita, corona au COVID-19 na mabadiliko ya tabianchi kwa mujibu wa shirika la umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP.

Audio Credit
Flora Nducha- Jason Nyakundi
Audio Duration
3'1"
Photo Credit
© WFP/Massoud Hossaini