Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Soko la Kakonko litasaidia kuinua uchumi wa jamii hususan wanawake Tanzania na Burundi

Soko la Kakonko litasaidia kuinua uchumi wa jamii hususan wanawake Tanzania na Burundi

Pakua

Biashara kati ya taifa moja na nyingine ni sehemu ya taswira ya kiuchumi na kijamii ya nchi nyingi barani Afrika na hususan maeneo ya mipakani. Na hali hiyo ndio inayoshuhudiwa mjini Kigoma mpakani mwa Tanzania na Burundi.

Audio Credit
Anold Kayanda/ Ahimidiwe Olotu
Audio Duration
2'58"
Photo Credit
FAO Tanzania