Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uwasilishaji wa chanjo kwa watoto unakabiliwa na vikwazo Libya

Uwasilishaji wa chanjo kwa watoto unakabiliwa na vikwazo Libya

Pakua

Mashirika ya Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto duniani UNICEF na afya WHO leo yamesema yanatiwa hofu kutokana na upungufu mkubwa wa chanjo muhimu nchini Libya ambao unatishia afya ya maelfu ya watoto wa taifa hilo.

Audio Credit
Flora Nducha- Grace Kaneiya
Audio Duration
1'56"
Photo Credit
© UNICEF Patrick Brown