Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

02 Oktoba 2020

02 Oktoba 2020

Pakua

Mnamo mwaka 1995, maelfu ya wanawake kutoka kote duniani walikutana mjini Beijing China katika mkutano waliotumia kujadili changamoto zinazowakabili na wakatoa mapendekezo ya jinsi ya kuzikabili. Tukio hilo linatazamwa kote duniani kuwa chachu ya mabadiliko makubwa yanayoonekana katika dunia ya leo kwa upande wa haki za mwanamke. Miaka 25 baadaye, aliyekuwa kiongozi wa mkutano huo, Getrude Mongela, kwa ufupi kupitia mahojiano haya yaliyofanywa na Stella Vuzo wa Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa, UNIC Tanzania, anaeleza hali ilivyokuwa kabla na baada ya mkutano huo wa Beijing.  

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
11'32"