Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

31 Julai 2020

31 Julai 2020

Pakua

Eid Mubaraka msikilizaji wetu na leo Ijumaa ni mada kwa kina tukimulika mwanamke aliyekumbwa na madhila ya usafirishaji haramu huko nchini Kenya na hatimaye kusaidia kurejea nyumbani. Lakini kuna muhtasari wa habari na neno la wiki, tofauti ya marehemu na hayati. Karibu na mwenyeji wako ni Assumpta Massoi.

Audio Duration
10'56"