30 JULAI 2020

30 Julai 2020
Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo.
Ikiwa leo ni siku ya kimataifa dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu,UNODC imesemaaa 24 za Licha ya COVID-19 wahudumu walio mstari wa mbele wanasaidia manusura wa usafirishaji haramu.
Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF imesema  Mtoto 1 kati ya 3 duniani kote ana kiwango cha juu cha madini ya risasi kwenye damu yake

Shirika la Mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP limeonya kuwa tusipochukua hatua sahihi na kwa haraka, Amerika Kusini na Karibea watu watakufa

Na leo kwenye Makala tutasikia kutoka kwa mjasiriamali mtanzania anayesindika viungo vya chai kwa kutumia mazao ya asili.

Na kwenye  mashinani leo  tutakwenda  nchini Uganda kusikia jinsi Shirika la  Umoja wa Mataifa la kuwahudumia watoto UNICEF lilivyounga mkono hatua za serikali za kukabiliana na milipuko ya kipindupindu Karibu!

 

 
 

 

 
 

 

 

 

 

 
Audio Credit:
Assumpta Massoi
Audio Duration:
11'49"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud