Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwanamke mwenye ulemavu wa kuona aeleza madhila vitani, DRC-Sehemu ya 1 

Mwanamke mwenye ulemavu wa kuona aeleza madhila vitani, DRC-Sehemu ya 1 

Pakua

Wanawake hukumbana na madhila mengi duniani huku wakihitaji kuungana mkono wao kwa wao ili kihimili madhila haya ambayo hua pamoja na ubakaji, kuporwa mali na kutumikishwa kingono na ndoa za ntotoni na kwa lazima.

Watu wenye ulemavu hua ni wahanga zaidi na kwa mantiki hiyo, tuungane na John Kibego kutoka Uganda kwa kwangazia ukweli wa mambo mabapo wanawake na wasichana wameshikamana vitani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kumsaidia mwanamke mwenzao ambaye ana ulemavu wa kutoona hata wakiwa ukimbizini. Hii ni sehemu ya kwanza.

Audio Credit
Grace Kaneiya/ John Kibego
Audio Duration
3'53"
Photo Credit
UN News/ John Kibego