Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNAIDS yasema mapambano dhidi ya UKIMWI hayatenganishwi na mapambano dhidi ya aina zote za ubaguzi

UNAIDS yasema mapambano dhidi ya UKIMWI hayatenganishwi na mapambano dhidi ya aina zote za ubaguzi

Pakua

Kuelekea jumapili hii ya tarehe Mosi mwezi Machi ambayo dunia inaadhimisha siku ya kupambana na ubaguzi dhidi ya wanawake na wasichana, shirika la Umoja wa Mataifa linalopambana na Virusi Vya UKIMWI, VVU na UKIMWI, UNAIDS limesema mapambano dhidi ya UKIMWI hayatenganishwi na kupigania haki za wanawake na pia mapambano dhidi ya aina zote za ubaguzi.

Audio Credit
Anold Kayanda
Audio Duration
1'47"
Photo Credit
UN AIDS