Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nchini Kenya vijana 300 wapatiwa mafunzo kuepusha baa la nzige

Nchini Kenya vijana 300 wapatiwa mafunzo kuepusha baa la nzige

Pakua

Shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa, FAO, nchini Kenya, limeanza kuwafundisha vijana 300 wa jeshi la huduma la vijana nchini  humo, NYS mbinu za kukabiliana na nzige wa jangwani walioripotiwa kuvamia taifa hilo la Afrika Mashariki tangu mwezi Disemba mwaka jana.

Audio Credit
UN News/Anold Kayanda
Sauti
1'50"
Photo Credit
UNEP GRID Arendal/Peter Prokosch