Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Antonio Guterres asema sayansi ni somo shirikishi, hebu tuwashirikishe wanawake na wasichana

Antonio Guterres asema sayansi ni somo shirikishi, hebu tuwashirikishe wanawake na wasichana

Pakua

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ingawa sayansi ni somo shirikishi lakini bado sayansi hiyo inabakizwa nyuma na pengo la kijinsia

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
1'26"
Photo Credit
UN Photo/Antonio Fiorente