Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yasema msimu wa baridi waleta madhila zaidi kwa waliokimbia mapigano Idlib, Syria

UNICEF yasema msimu wa baridi waleta madhila zaidi kwa waliokimbia mapigano Idlib, Syria

Pakua

Wakati mapigano yakiendela na watu wakiendelea kufurushwa Kaskazini magharibi mwa Syria, mahitaji ya watoto na familia kwa ujumla yanaongezeka kila uchao  kwa mujibu wa shirika la watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF.

Audio Credit
UN News/Jason Nyakundi
Audio Duration
1'29"
Photo Credit
@WFP Syria