Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

OCHA yasema ghasia West Sudan Darfur zimewaathiri maelfu

OCHA yasema ghasia West Sudan Darfur zimewaathiri maelfu

Pakua

Ghasia kati ya jamii ndani na nje ya El Geneina, mji mkuu wa jimbo la West Darfur nchini Sudan yanaripotiwa kusababisha vifo vya takriban watu 54, kuwajeruhi 60  na kusababisha 40,000 kuhama makwao tangu Desemba 28.

Audio Credit
UN News/Brenda Mbaitsa
Audio Duration
1'24"
Photo Credit
UNAMID/Amin Ismail