UNCHR yasema baada ya kutelekezwa kutokana na vita sasa mashamba ya Yathreb Iraq yashamiri tena

UNCHR yasema baada ya kutelekezwa kutokana na vita sasa mashamba ya Yathreb Iraq yashamiri tena

Pakua

Mamia ya raia wa Iraq waliokimbia machafuko na vita kwenye mji wa Yathreb jimboni Salahudine wameanza kurejea nyumbani na kufufua matumaini ya maisha na kilimo walichokitelekeza kwa muda mrefu. 

Audio Credit
UN News/John Kibego
Audio Duration
1'43"
Photo Credit
UNICEF/Noorani