Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa IDA wa Benki ya dunia umebadili maisha nchini Chad

Mradi wa IDA wa Benki ya dunia umebadili maisha nchini Chad

Pakua

Kutana na Adouia mama mjasiriamali aliyefaidika na kubadili maisha yake na jamii yake kutokana na mradi wa Benki ya dunia kupitia ufadhili wa jumuiya ya kimataifa ya maendeleo (IDA). 

Audio Credit
UN News/Jason Nyakundi
Sauti
1'55"
Photo Credit
UN News/ Anton Uspensky