Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN yasema wahamiaji wote wana haki ya ulinzi sawa wa haki zao zote za kibinadamu

UN yasema wahamiaji wote wana haki ya ulinzi sawa wa haki zao zote za kibinadamu

Pakua

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa pamoja na viongozi wengine wa juu wa Umoja wa Mataifa, wametoa wito kwa dunia kuhakikishia ulinzi wa haki za binadamu kwa wahamiaji. 

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
2'19"
Photo Credit
IOM/Marian Khokhar