Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNIICEF yasema Watoto 9 huuawa au kulemazwa kila siku nchini Afghanistan

UNIICEF yasema Watoto 9 huuawa au kulemazwa kila siku nchini Afghanistan

Vita vilivyodumu kwa miaka 40 sasa nchini Afghanistan vimekuwa na madhara makubwa kwa watoto ambapo kila siku husababisha watoto 9 kuuawa au kusalia na ulemavu, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto,  UNICEF.