Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Miaka 30 iliyopita imeshuhudia hatua katika vita dhidi ya ufisadi:UNODC

Miaka 30 iliyopita imeshuhudia hatua katika vita dhidi ya ufisadi:UNODC

Pakua

Mkutano wa kimataifa wa kujadili mkataba wa kupambana na ufisadi umeanza leo Abu Dhabi huku ikielezwa kwamba kumekuwa na hatua zilizopigwa katika vita dhidi ya chhangamoto hiyo ambayo sio tu ni adui wa haki bali pia adui wa maendeleo.

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
2'1"
Photo Credit
UNODC