Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tafadhali jamii ya kimataifa igeukieni Sudan, atoa wito Mark Lowcock

Tafadhali jamii ya kimataifa igeukieni Sudan, atoa wito Mark Lowcock

Pakua

Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura, OCHA, Mark Lowcock amehitimisha ziara yake nchini Sudan akitaka jamii ya kimataifa iongeze kasi ya kupeleka misaada ya kibinadamu nchini humo.

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
1'49"
Photo Credit
OCHA