Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtoto Salma kutoka Lindi Tanzania anatambua haki za mtoto

Mtoto Salma kutoka Lindi Tanzania anatambua haki za mtoto

Pakua

Mkataba wa kimataifa wa  haki za mtoto CRC ambao mwaka huu umetimiza miaka 30 tangu  upitishwe na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, unataja bayana haki kuu nne za msingi ambazo kile mtoto, yaani mkazi wa dunia mwenye umri wa miaka 18 au chini ya hapo anapaswa kuzipata awe wa kike au wa kiume.

Audio Credit
Arnold Kayanda/
Audio Duration
1'18"
Photo Credit
UNICEF