Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Winnie Byanyima mwanamke kutoka Uganda apeperusha bendera ya UNAIDS

Winnie Byanyima mwanamke kutoka Uganda apeperusha bendera ya UNAIDS

Pakua

Winnie Byanyima kutoka nchini Uganda leo ameanza kazi rasmi ya Mkurugenzi Mtendaji mpya wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya ukimwi UNAIDS. Brenda Mbaitsa na taarifa kamili.

Audio Credit
UN News/Brenda Mbaitsa
Audio Duration
2'1"
Photo Credit
UN Photo/Amanda Voisard