Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mafuriko pembe ya Afrika yameongeza mahitaji ya kibinadamu imesema OCHA

Mafuriko pembe ya Afrika yameongeza mahitaji ya kibinadamu imesema OCHA

Pakua

Kumekuwa na mvua kubwa katika maeneo mengi nchi za pembe ya Afrika katika miezi michache iliyopita na hivyo kusababisha mafuriko na mahitaji ya kibinadamu hususan nchini Ethiopia, Sudan Kusini na Somalia imesema leo Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu, OCHA.

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
2'27"
Photo Credit
© UNHCR/Elizabeth Stuart