Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hofu yatanda kufuatia mashambulizi mapya Syria:UN

Hofu yatanda kufuatia mashambulizi mapya Syria:UN

Pakua

Nchini Syria mashambulio mapya yaliyofanywa kaskazini-mashariki mwa nchi hiyo yameibua kauli za kulaani, zikisema kuwa wasyria wamechoka na hawahitaji mashambulio zaidi wakati huu ambao bado wako kwenye majanga.

Audio Credit
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration
1'41"
Photo Credit
UNICEF/UN0277723/Souleiman