Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yasema surua DRC ni tishio kuliko Ebola, idadi ya vifo sasa ni 4,000

UNICEF yasema surua DRC ni tishio kuliko Ebola, idadi ya vifo sasa ni 4,000

Pakua

Mlipuko wa ugonjwa wa Surua nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC umeendelea kuwa tishio wakati huu ambapo idadi ya vifo imefikia 4,000 na hivyo kulazimu mashirika ya Umoja wa Mataifa kuendelea kuwapatia chanjo watoto zaidi na kupeleka dawa za kuokoa maisha.

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
1'32"
Photo Credit
© UNICEF/Marixie Mercado