Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuna mengi ya kuiga na Afrika kutoka kwa Japan kuhusu tamaduni za ulaji-FAO

Kuna mengi ya kuiga na Afrika kutoka kwa Japan kuhusu tamaduni za ulaji-FAO

Pakua

Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO limesema mataifa ya Afrika yanaweza kunufaika zaidi kutokana na ufahamu na utamaduni wa Japani katika ulaji wa vyakula vyenye afya na lishe, amesema Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Qu Dongyu. 

Audio Credit
Arnold Kayanda/ Grace Kaneiya
Audio Duration
1'44"
Photo Credit
Picha na jumuiya ya Shizuoka WASABI kwa ajili ya umuhimu wa urithi wa kilimo duniani