Kuna mengi ya kuiga na Afrika kutoka kwa Japan kuhusu tamaduni za ulaji-FAO
Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO limesema mataifa ya Afrika yanaweza kunufaika zaidi kutokana na ufahamu na utamaduni wa Japani katika ulaji wa vyakula vyenye afya na lishe, amesema Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Qu Dongyu.