Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu wawili kati ya watu watatu nchini CAR wanahitaji msaada wa kibinadamu

Watu wawili kati ya watu watatu nchini CAR wanahitaji msaada wa kibinadamu

Pakua

Watu wawili kati ya watu watatu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR wanahitaji msaada wa kibinadamu na hivyo kufanya janga hilo la kibinadamu kuwa la tatu kwa kubwa zaidi duniani baada ya Yemen na Syria, limesema shirika la mpango duniani la Umoja wa Mataifa, WFP

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Assumpta Massoi
Audio Duration
1'43"
Photo Credit
Yaye Nabo Sène/OCHA