Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana nchini Kenya washirikishwa katika SDGs

Vijana nchini Kenya washirikishwa katika SDGs

Pakua

Nchini Kenya serikali inaendelea kuchukua hatua kuhakikisha kuwa suala la uwezeshaji vijana katika kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs linatekelezwa kivitendo badala ya kusalia kwenye makaratasi.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
1'58"
Photo Credit
UN SDGs