Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nyumbani maanake ni nini?- mshairi Bigoa Chuol

Nyumbani maanake ni nini?- mshairi Bigoa Chuol

Pakua

Baada ya kuishi ukimbizi kwa zaidi ya miongo miwili mshairi Bigoa Chuol kutoka Sudan kusini ameamua kutumia kipaji chale kuhoji “nini maana ya nyumbani? na kwa wakimbizi nyumbani ni wapi? 

Audio Credit
Arnold Kayanda/ Flora Nducha
Audio Duration
2'42"
Photo Credit
Picha: IRIN/Siegfried Modola