Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake wa jamii ya asili wapata stadi mpya kando na ushonaji wa shanga

Wanawake wa jamii ya asili wapata stadi mpya kando na ushonaji wa shanga

Pakua

Shirika la Illaramatak Community Concerns nchini Kenya ambalo linahusika na kusaidia jamii za wafugaji limesema kuwa baada ya harakati za kuhamasisha jamii na hususan wanawake kuzaa matunda sasa limejikita katika kuwawezesha wanawake kwa ajili ya kusaidia kusongesha mbele jamii kwa ujumla. 

Audio Credit
Grace Kaneiya/ Jason Nyakundi
Sauti
1'51"
Photo Credit
UN News Kiswahili/ G.Kaneiya