Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ongezeko la joto ni mtihani kwa utendaji kazi ifikapo 2030:ILO

Ongezeko la joto ni mtihani kwa utendaji kazi ifikapo 2030:ILO

Pakua

Makadirio kwa kuzingatia ongezeko la joto la dunia la nyuzi joto 1.5 kufikia mwishoni mwa karne hii yanaonesha kuwa kufika mwaka 2030, asilimilia 2.2 ya jumla ya muda wa saa za kazi kote duniani itapotea kutokana na joto kali, na ni hasara sawa na nafasi za kazi milioni 80.  Maelezo zaidi na Patrick Newma

Audio Credit
UN News/Patrick Newman
Audio Duration
2'31"
Photo Credit
UN News/ Anton Uspensky