Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Afya ya uzazi na ulinzi wa wanawake na wasichana ni jukumu la wote-Restless Development

Afya ya uzazi na ulinzi wa wanawake na wasichana ni jukumu la wote-Restless Development

Pakua

Afya ya uzazi ni suala ambalo ni muhimu katika jamii yoyote, lakini upatikanaji wa huduma hii hukabiliwa na changamoto mbalimbali na hivyo kuwaweka wasichana na wanawake katika mazingira magumu. Nchini Tanzania juhudi za serikali zinasaidia kulinda wasichana na wanawake katika kupata huduma muhimu za afya ya uzazi lakini pia mashirika yasiyo ya kiserikali yanaziba pengo ambalo linasalia. Je ni vipi mashirika hayo yanachukua hatua? Basi ungana na Grace Kaneiya katika makala hii na kijana kutoka Tanzania kuona namna shirikla liliso la kiserikali la Restless Development Tanzania linasaidia katika kufanikisha afya ya uzazi.

 

Audio Credit
Siraj Kalyango/ Grace Kaneiya/ Aisha Mateku
Audio Duration
4'1"
Photo Credit
Diana Nambatya/Photoshare