Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utamaduni hutumiwa kama kisingizio kubinya haki kadhaa

Utamaduni hutumiwa kama kisingizio kubinya haki kadhaa

Pakua

Mila na desturi za kitamaduni zina mchango mkubwa katika jamii endapo zitaenziwa kwa kuheshimu haki zingine za binadamu. Hata hivyo wakati mwingine jamii hutumia haki za kitamaduni kama kisingizio cha kukandamiza wengine au kubinya haki zingine za binadamu katika jamii. 

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
1'21"
Photo Credit
SGP-GEF-UNDP Peru/Enrique Castro-Mendívil