unrwa

China yatoa dola milioni 1 kuipiga jeki operesheni za UNRWA

Serikli ya Uchina leo imetia saini makubaliano ya kuchangia dola milioni moja kwa shirika la Umoja wa Mataifa la msaada wa wakimbizi wa Kipalestina UNRWA.

Hatma ya mamilioni ya Wapalestina inategemea ukarimu wenu nchi wanachama:UN

Mamilioni ya Wapalestina wanategemea shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kilapestina UNRWA, ili kula , kulala na kuishi na UNRWA haiwezi kukidhi mahitaji hayo endapo nyinyi nchi wanachama na wadau wengine hamtoonyesha ukarimu kwa kunyoosha mkono zaidi kuisaidia

Zaidi ya nusu ya watu Gaza kukosa chakula ifikapo Juni:UNRWA

Zaidi ya watu milioni moja sawa na nusu ya watu wote Gaza huenda wasiwe na mlo kabisa ifikapo mwezi Juni mwaka huu limeonya shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA.

Diplomasia ya amani kuchagiza maendeleo endelevu Mashariki ya Kati- Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres aliyeko ziarani huko Jordan, amezungumza kwenye  jukwaa la kiuchumi duniani, WEF mjini Amaan na kusisitiza msimamo wa chombo hicho wa kutumia diplomasia ya amani ili kusongesha maendeleo endelevu na uwekezaji huko Mashariki ya Kati.

Tumesalia bila chochote isipokuwa ndoto zetu:Wakimbizi wa Palestina

Maelfu ya wakimbizi wa Kipalestina wanaoshi Ukanda wa Gaza wanasema hawana chochote, hata matumaini yameanza kupotea sipokuwa ndoto zao. Hii ni kutokana na madhila na machafuko ya miaka nenda rudi katika eneo hilo linalokaliwa na Israel.

Sauti -
3'6"

Tumesalia bila chochote isipokuwa ndoto zetu:Wakimbizi wa Palestina

Maelfu ya wakimbizi wa Kipalestina wanaoshi Ukanda wa Gaza wanasema hawana chochote, hata matumaini yameanza kupotea sipokuwa ndoto zao. Hii ni kutokana na madhila na machafuko ya miaka nenda rudi katika eneo hilo linalokaliwa na Israel. Wengi wanaishi wanaishi makambini ikiwemo kambi ya Al-Shati

23 Novemba 2018

Leo hii katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa Assumpta Massoi anakuletea

-Baraza la Biashara Afrika Mashariki lataka itifaki ya Kigali idhizie kote Afrika

-Ukata katika shirika la msaada kwa wakimbizi wa Kipastina , UNRWA watishia mustakabali wa watoto wa Kipalestina

Sauti -
11'47"

9 Novemba 2018

Jaridani hii leo Siraj Kalyango anaanzia huko Yemen ambako mashirika ya Umoja wa Mataifa bado yanapaza sauti ya kwamba machafuko  yanayoendelea huko Hudaydah yanakwamisha harakati za usambazaji wa misaada.

Sauti -
12'

Angalau watoto Gaza wanaweza kusoma hadi mwisho wa muhula wa sasa wa masomo- UNRWA

Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA limesema mwaka huu huenda likaweza kuendelea kuendesha shule zake kwa wakimbizi hadi mwisho wa muhula wa shule 2019.

Sauti -
1'28"

Muhula wa shule za UNRWA mwaka huu uko shwari licha ya ukata :UN

Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA limesema mwaka huu huenda likaweza kuendelea kuendesha shule zake kwa wakimbizi hadi mwisho wa muhula wa shule 2019.