Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNISDR yasema tsunami inaleta mateso kwa binadamu na hasara kwa uchumi

UNISDR yasema tsunami inaleta mateso kwa binadamu na hasara kwa uchumi

Pakua

Hii leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya kuelimisha jamii  kuhusu tsunami, msisitizo ukiwa ni  hasara za kiuchumi, Umoja wa Mataifa unasema idadi ya vifo na hasara za kiuchumi zitokanazo na matukio ya tsuanami kwa nchi zinazopakana na bahari ya India na Pasifiki zimeongezeka katika kipindi cha miongo miwili iliyopita. 

Audio Credit
Anold Kayanda
Audio Duration
1'54"
Photo Credit
OCHA/Anthony Burke