Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maswala ya wanawake DRC yapigwa tochi

Maswala ya wanawake DRC yapigwa tochi

Pakua

Ujumbe wa pamoja kwa ajili ya kutetea masaula ya wanawake umetoa taarifa baada ya ziara yake ya siku nne nchini Jamhuri ya Kidemokrasai ya Kongo, DRC ilioangazia zaidi masuala ya wanawake. Ujumbe huo umejumwisha mafisa wa Shirika la Umoja wa Matiafa la masuala ya wanawake-UN –Women, Muungano wa Africa AU na Ushirika wa Kimataifa kuhusu masuala ya Ukanda wa Maziwa Makuu ICGLR.

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
56"
Photo Credit
Picha: UN Women / Catianne TIJERINA