Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J Mohammed amesherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake leo Jumapili huko Port Moresby, Papua New Guinea, na kuzindua mpango wa Spotlight kwa ushirikiano na serikali ya nchi hiyo na Jumuiya ya Ulaya ili kumaliza ukatili dhidi ya wanawake na wasichana.
Mangariba zaidi ya 60 nchini Sierra Leone maarufu kama Soweis wamekata shauri na kuvitelekeza visu vyao walivyovitumia miaka nenda miaka rudi kukeketa maelfu ya wanawake na wasichana.
Mangariba zaidi ya 60 nchini Sierra Leone maarufu kama Soweis wamekata shauri na kuvitelekeza visu vyao walivyovitumia miaka nenda miaka rudi kukeketa maelfu ya wanawake na wasichana.
Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Tijjani Muhammad-Bande ambaye alichaguliwa kuchukua wadhifa huo mnamo mwezi Septemba mwaka jana 2019, hii leo jumatatu, awewasilisha kwa nchi wanachama, vipaumbele vyake vya mwaka 2020.
Katika visiwa vya Pacifiki kati ya asilimia 75 hadi 90 ya wachuuzi sokoni ni wanawake na kwa kutambua umuhimu wao na mchango wao katika jamii shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake UN Women liliamua kuanzisha mradi wa masoko kwa kwa ajili ya mabadiliko au M4C kwa ajili y
Katika visiwa vya Pacifiki kati ya asilimia 75 hadi 90 ya wachuuzi sokoni ni wanawake na kwa kutambua umuhimu wao na mchango wao katika jamii shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake UN Women liliamua kuanzisha mradi wa masoko kwa kwa ajili ya mabadiliko au M4C kwa ajili ya kuwawezesha wanawake hao na familia zao.
Katika Jarida la Habari hii leo Arnold Kayanda anakuletea
-Katika siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana UN yataka kila mtu kuchukua hatua na kuhakikisha haki, sauti na ukatili huo dhidi ya wanawake unakoma mara moja
Mapema leo Jumanne asubuhi Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Maria Fernanda Espinosa amezuru kambi ya wakimbizi ya Zaatari nchini Jordan. Kambi hiyo iliyo karibu na mpaka baina ya Syria na Jordan katika upande wa Kaskazini, ni maskani ya wakimbizi takriban 80,000 na karibu asilimia 20 ya kaya zote kambini zinaendeshwa na wanawake.