Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

13 Agosti 2018

13 Agosti 2018

Pakua

Hii leo katika jarida la Umoja wa Mataifa Patrick Newman anakuletea:

  1. Mradi wa FAO uliowekeza maelfu ya dola huko Kenya waleta nuru kwa kaya za wafugaji; kila dola moja yazaa dola 3.5
  2. Huko Madagascar, vijana waliokuwa kwenye magenge ya uhalifu sasa wapatiwa stadi na vipato ni dhahiri.
  3. Kueleka kummbukizi ya miaka 15 ya shambulio la bomu kwenye ofisi za Umoja wa Mataifa huko Iraq, manusura afunguka alivyonusurika.
  4. Makala leo tunabisha hodi kwa warendile nchini Kenya, athari za mabadiliko ya tabianchi ni dhahiri shahiri.
  5. Mashinani tunakwenda DRC wanawake wasihi Umoja wa Mataifa usaidie ili washiriki ipasavyo kwenye mchakato wa uchaguzi baadaye mwaka huu
Audio Credit
Patrick Newman
Audio Duration
12'21"