Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu zaidi ya 4000 wapata msaada wa IOM kufuatia mafuriko Burundi

Watu zaidi ya 4000 wapata msaada wa IOM kufuatia mafuriko Burundi

Pakua

Wakazi wa kaya zaidi ya 1000 zilizotawanywa na mafuriko nchini Burundi zipokea msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la wahamiaji, IOM

Audio Credit
Siraj Kalyango/ Flora Nducha
Audio Duration
1'46"
Photo Credit
Mafuriko yanayochangiwa na mabadiliko ya tabianchi. Picha: WMO