Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mipango kuwahusu wasaka hifadhi Ulaya kupitia baharini haitoshi

Mipango kuwahusu wasaka hifadhi Ulaya kupitia baharini haitoshi

Pakua

Tangu Jumamosi, serikali za Ufaransa,Ujerumani, Italia, Malta, Hispania na Ureno ziliafikiana  kutia nanga kwa meli hiyo nchini kavu na kwa pamoja kuwasaidia wahamiaji  hao 450, na pia kushughulikia maombi ya hifadhi endapo yatatokea.

Shirika la kuwahudumia wakimbizi la UNHCR , linasema linakaribisha hatua za mataifa kadhaa ya Ulaya za kumaliza mgogoro wa wahamiaji 450 waliokuwawamekwama katika baharí ya Mediterrania kutokana na kutokubaliwa na taifa lolote kuingia nchini mwao. Hata UNHCR inasema mpango wa sasa hautoshi kwani ni wa muda tu.

Audio Credit
Sharifa Kato
Audio Duration
1'19"
Photo Credit
Frontex/Francesco Malavolta