Fillipo Grandi

Wakimbizi wa Ethiopia sasa ni zaidi ya 43,000, Mkuu wa UNHCR atembelea Kartoum Sudan kutathimini hali.

Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filippo Grandi yuko ziarani nchini Khartoum, Sudan kuangazia hali ya wakimbizi wa Ethiopia ambao hadi sasa zaidi ya 43,000 wameingia mashariki mwa Sudan wakitokea jimbo la Tigray.  

Watu wa Jordan wamenipa fursa nyingine baada ya vita kuniondoa masomoni Yemen-Mkimbizi 

Wakiwa katika mavazi ya kazi, vijana wakimbizi wamelizunguka gari na mmoja wao akiwa na kifaa cha kupima gari ili kugundua tatizo.  Ahimidiwe Olotu na taarifa zaidi.

Sauti -
1'54"

Vita iliniondoa chuo kikuu kwetu Yemen, watu wa Jordan wamenipa fursa nyingine-Mkimbizi 

Wakiwa katika mavazi ya kazi, vijana wakimbizi wamelizunguka gari na mmoja wao akiwa na kifaa cha kupima gari ili kugundua tatizo.  

Poleni sana waathirika tutaendelea kushikamana nanyi:Grandi

Kamishina mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filippo Grandi amewatembelea wakimbizi ambao ni waathirika

Sauti -
2'37"

Poleni sana waathirika tutaendelea kushikamana nanyi:Grandi

Kamishina mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filippo Grandi amewatembelea wakimbizi ambao ni waathirika wa mlipuko wa wiki iliyopita mjini Beirut nchini Lebanon kuwapa pole na kuwahakikishia kwamba Umoja wa Mataifa utaendelea kushikamana nao kwa hali na mali.

21 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Flora Nducha
- Leo ni siku ya kukumbuka na kuenzi waathiriwa na manusura waugaidi, ikiwa ni maadhimisho ya tatu tangu Baraza Kuu la Umoja
wa Mataifa lipitishe azimio la kutambua siku hii mwaka 2018
Sauti -
10'24"

09 JULY 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo.

Sauti -
11'52"

Asilimia 1 ya watu wote duniani wamelazimika kukimbia makwao:UNHCR Ripoti

Ripoti mpya ya mwenendo wa kimataifa wa wakimbizi na watu waliotawanywa duniani ambayo imetolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
2'44"

18 Juni 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo
Sauti -
9'56"

Asante Zambia kwa kukirimu wakimbizi -Fillipo Grandi

Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR Fillipo Grandi ameshukuru Zambia kwa ukarimu wake na kufungu

Sauti -
1'52"