Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wahamiaji ni injini muhimu kwa maendeleo-Guterres

Wahamiaji ni injini muhimu kwa maendeleo-Guterres

Pakua

 Wahamiaji ni injini muhimu kwa maendeleo Idadi yao ni zaidi ya milioni 250 duniani kote ,na ni asilimia tatu ya idadi yote ya watu dunianiwakichangia jumla ya asilimia 10 ya pato la ndani duniani. Hata hivyo watu takriban 60,000  wamepoteza maisha baharini, ardhini na jangwani tangu mwaka wa 2000.Na kawaida wahamiaji na wakimbizi   hunyanyaswa na wakati mwingine kushambuliwa.

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
2'53"
Photo Credit
UN Photo/Mark Garten)