Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

19 Juni 2018

19 Juni 2018

Pakua

Katika jarida la habari hii leo Assumpta Massoi anaangazia.

  1. Ukatili wa kingono vitani umefurutu ada, waliozaliwa baada ya wazazi kubakwa kupata msaada
  2. Idadi ya wanaume na watoto wanaobakwa vitani inaongezeka
  3. Nchini Tanzania FAO yaimarisha mkakakati wa ukombozi kwa wakulima
  4. Katika makala leo tunazungumza na Seneta mwenye ulemavu toka Kenya akimulika madhila na juhudi za ukombozi
  5. Mashinani leo tuko Kenya kwake JOSEPHTA OYELA MUKOBE 
Audio Credit
UN News/Assumpta Massoi
Audio Duration
11'20"