Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

18 Juni 2018

18 Juni 2018

Pakua

Katika jarida la habari hii leo Assumpta Massoi anakuletea..

  1. Yumkini hali ya ukiukaji wa haki za binadamu duniani imefurutu ada wasema Umoja wa Mataifa
  2. ECA inasema mfumo bora wa treni ni jawabu la adha ya usafiri Afrika
  3. Nchini Tanzania mkakati umeweka kuhakikisha watu wenye ulemavu hawasalii nyumba katika SDG's
  4. Katika makala Siraj Kalyango anamulika mazingira na mabadiliko ya tabia nchi 
  5. Mashinani leo tuko Tanga Tanzania kwa afisa wa taasisi ya Kiislamu ya misaada Bwanha Hamis Mlaponi
Audio Duration
11'11"