Watoto Kenya nao wahifadhi mazingira
Serikali ya Kenya inaendesha kampeni ya uhifadhi wa mazingira, ambapo elimu ya upandaji miti inatolewa katika shule za msingi ili kuelimisha vijana na jamii kwa ujumla kuhusu umuhimu wa manzingira.
Pakua
Serikali ya Kenya inaendesha kampeni ya uhifadhi wa mazingira, ambapo elimu ya upandaji miti inatolewa katika shule za msingi ili kuelimisha vijana na jamii kwa ujumla kuhusu umuhimu wa manzingira.
Katika makala hii, mwandishi wetu Patrick Newman anatukuletea harakati za vijana wa shule za msingi mashariki mwa Kenya waliopanda miti wakati walipohitimu shule ya msingi mwaka 2012.
Sasa ikiwa ni miaka 6 baada ya zoezi hilo la upandaji miti, nini kilichojiri katika vijiji hivyo? Ungana nae katika makala hii kwa undani zaidi.
Audio Credit
Patrick Newman
Sauti
3'8"