Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Takwimu ni muhimu kwa watoto:UNICEF

Takwimu ni muhimu kwa watoto:UNICEF

Pakua

Takwimu zinasaidia sana katika kushughulikia masuala mbalimbali yanayowahusu watoto duniani , na hasa wanaokabiliwa na changamoto , limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.

Audio Credit
Patrick Newman
Audio Duration
1'20"
Photo Credit
Picha: UNICEF/Rosalie Colfs